Иранският режим търси изход от задънената улица, в която се вкара по въпросите за сигурността си. Днес за първи път ще се проведат преки разговори между официални представители на Иран и САЩ - в срещата в Оман ще участват външният министър на Иран Абас Арагчи и представителите на американския президент Доналд Тръмп …
Mjumbe wa Rais wa Marekani Donald Trump Mashariki ya Kati Steve Witkoff na waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi wanaongoza wajumbe wao katika mazungumzo hayo Oman, ambayo ni mpatanishi kati ya nchi hizo mbili.
Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Iran na Marekani yameanza rasmi Ijumaa nchini Oman, yakilenga kupunguza mvutano juu ya mpango wa nyuklia wa Tehran na kuzuia mzozo mpya katika ukanda wa Mashariki ya Kati.
Иран се обидува да излезе од безбедносната ќор-сокак ситуација и најави подготвеност за директни преговори со САД околу својата атомска програма. Иранскиот министер за надворешни работи Абас Арагчи денеска (петок, 06.02.) во Оман треба првпат да се сретне со посредниците на американскиот претседател Доналд Трамп – С…
Iran da Amurka za su fara tattaunawa a Juma'ar nan a Oman, sai dai Teheran na son ganawar ta takaita kan shirinta na nukiliya yayin da Washington ke ci gaba da jaddada barazanar daukar matakin soji muddin aka gaza cimma matsaya.
Wawakilishi wa Marekani leo wanatarajiwa kufanya mazungumzo na wenzao wa Iran huko Muscat, Oman kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. Upande wa Marekani, mjumbe maalum Steve Witkoff na Jared Kushner, mkwe wa Rais Donald Trump, watashiriki.
Senior US and Iranian officials are expected to meet in Oman later for direct talks amid a crisis that has raised fears of a military confrontation between the two countries.
Le 2 février, à Doha, au Qatar, la République démocratique du Congo et l’AFC‑M23 ont signé une déclaration de principes définissant des engagements. Parmi les conditions majeures : un cessez‑le‑feu effectif et le retrait des forces étrangères présentesdans l’est du pays.
Wajumbe wa Marekani wameyaelezea mazungumzo ya viongozi hao wawili yaliyofanyika mwanzoni mwa ziara ya siku tatu ya Merz iliyoanza jana (04.02.2026), katika eneo la Ghuba, kuwa ya wazi na mepesi yakituwama katika masuala ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi wa mataifa hayo mawili. Mazungumzo yao yaligusia mambo mbalim…
Akizungumza wakati wa ziara yake nchini Qatar,kama sehemu ya ziara yake nzima ya eneo la Ghuba ambayo ni ya kwanza tangu aingie madarakani, Merz hakuujibu moja kwa moja ukosoaji wa Abbas Araghchi kuhusu uongozi wa Ujerumani, ila ameitaka jamhuri hiyo ya Kiislamu iwe na nia ya suluhu kupatikana inapoingia katika mazu…
Mwishoni mwaka jana, Iran ilikumbwa na maandamano makali zaidi huku wananchi wakipinga gharama za maisha. Mji mkuu,Tehran, ulifurika mamia kwa maelfu ya waandamanaji wakipaza sauti dhidi ya kushuka kwa thamani ya sarafu yao na kupanda kwa bidhaa muhimu na za msingi katika maisha.
Mazungumzo haya ndiyo ya hivi karibuni kufanyika baina ya mataifa hayo mawili tangu Israel ilipoanzisha vita vya siku 12 nchini Iran mnamo mwezi Juni na hivi majuzi jamhuri hiyo ya Kiislamu kuanza kuwakamata na kuwashambulia raia wake kufuatia maandamano ya nchi nzima ya kuipinga serikali.
Tangazo la kufanyika mazungumzo hayo limetolewa na waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi, saa kadhaa baada ya mashaka kwamba mazungumzo hayo huenda yasifanyike kutokana na mabadiliko ya muundo na maudhui yake.
Иран има намера да започне нови преговори со САД во Оман овој петок, според сопствените изјави. Разговори околу нуклеарната програма на Иран се закажани за 10 часот наутро во главниот град на Оман, Мускат, напиша министерот за надворешни работи Абас Арагчи на платформата X. „Благодарен сум на нашите браќа од Оман за…
Masovni protesti , sve dublja ekonomska kriza, a sada i sve veća napetost i mogući vojni sukob sa Sjedinjenim Državama... U poslednjim nedeljama uočljiva je slabost režima i to mu ne treba mnogo pa da izgubi kontrolu nad Islamskom Republikom Iran.
Protestele de masă, o criză economică tot mai profundă și o confruntare militară tensionată cu SUA au pus la încercare controlul oficialilor iranieni asupra Republicii Islamice în ultimele săptămâni.
Këtë të premte (6.02.2026) Irani, sipas të dhënave të veta, do të fillojë bisedimet me SHBA-në në Oman. Bisedimet për programin bërthamo iranian janë planifikuar për në orën 10:00 sipas orës së Omanit në kryeqytetin Maskat, shkruan ministri i Jashtëm i Iranit Abbas Araghtçi në platformën X. "I jam mirënjohës vëllezë…
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi amesema mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani yatafanyika Ijumaa nchini Oman, huku mvutano kati ya nchi hizo ukiendelea kuwa mkubwa kufuatia msako mkali wa Tehran dhidi ya maandamano ya kitaifa mwezi uliopita.
Tensions between the US and Iran have raised questions about a potential conflict. Iran’s leaders have warned that it was ready for war following U.S. President Donald Trump’s consideration of military action against Tehran for its violent crackdown on protesters. U.S. vs Iran Military Strength: The U.S. military va…
Gwamnatin Jamhuriyar Musulunci ta Iran ta bai wa mata izini a hukumance na iya samun lasisin tuki na ababen hawa masu taya biyu wato kekuna da babura. Mataimakin shugaban kasa na farko Mohammad Reza Aref ne ya sanya hannu kan wani kuduri da majalisar ministoci ta amince da shi a karshen Janairu, da nufin fayyace ko …
A U.S. Navy fighter jet shot down an Iranian drone that was approaching the aircraft carrier USS Abraham Lincoln in the Arabian Sea, U.S. Central Command said Tuesday, threatening to ramp up tensions as the Trump administration warns of possible military action to get Iran to the negotiating table.
Siku ya Jumanne (Februari 3), msemaji wa Ikulu ya Marekani, Karoline Leavitt, alithibitisha kwamba mjumbe maalum wa Trump, Steve Witkoff, amekuwa akipanga kukutana na maafisa wa Iran baadaye wiki hii, hiyo ikiwa ni mara ya mwanzo kwa White House kutambuwa uwepo wa mazungumzo hayo.
Msemaji wa wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar, Majed al-Ansar amewaambia wandishi wa habari kuwa juhudi zinaendelea kwa nguvu kubwa kwa wakati huu na Qatar imekuwa ikishirikiana na majirani zao wakiwemo Misri, Oman, Saudi Arabia na Uturuki.
Tangazo hilo linaashiria mabadiliko makubwa kwa Rais mwanamageuzi Masoud Pezeshkian, ambaye kwa wiki kadhaa alikuwa ameonya kwamba machafuko nchini mwake yalikuwa yamepita uwezo wake wa kuyadhibiti.
Katika wiki iliyopita, hali ya wasiwasi kuhusu uwezekano wa Marekani kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran iliendelea kuathiri maamuzi ya kimkakati katika eneo lote.
Масштабы насилия, примененного службами безопасности Ирана для подавления массовых акций протеста, глубоко потрясли население страны. Вызванные экономическим кризисом многотысячные демонстрации вспыхнули 28 декабря прошлого года и охватили большинство провинций. Власти отреагировали на них временным отключением инте…
Pezeshkian amesema kupitia mtandao wa X kwamba amemuagiza Araghchi kufanya mazungumzo hayo kwa kuongozwa na misingi ya utu, busara, na uthabiti, lakini kwa kuzingatia mazingira yanayofaa, yasiyokuwa na vitisho na matarajio yasiyo na msingi.
Witkoff, ambaye alihusika pakubwa kwenye kile kiitwacho "Mpango wa Amani wa Trump kwa Gaza" alitazamiwa kuwasili mjini Tel Aviv siku ya Jumanne (Februari 3), wakati kivuuko cha Rafah kwenye mpaka wa Misri na Ukanda wa Gaza kikifunguliwa jioni ya Jumatatu, hatua muhimu kwenye mpango huo ambayo ilishaakhirishwa mara k…
Iran and Malaysia emerged as the top performers at the Sri Lanka Junior Open Squash Championship 2026, an Asian Junior Super Series (AJSS) with Parmin Nekopayan Tak of Iran winning the Girls’ Under-19 title and Yousof Ghorashi of Iran clinching the Boys’ Under-17 crown, as the tournament concluded at the Sri Lanka A…
All of us have watched movies that show soldiers parachuting into battle. Other films depict Special Forces storming buildings, landing by helicopter or “fast roping” from a helicopter into urban targets. Success in real life is achieved with sacrifice, planning and intense training. The failure of Operation Eagle C…
Iran’s Foreign Ministry spokesperson Esmaeil Baqaei has said the Islamic Republic is currently reviewing various aspects of efforts to resume indirect negotiations with the United States, noting that concerned regional countries are playing a constructive mediating role, while some European states are instead contri…
Hilo linaripotiwa wakati kukiwa na mvutano wa kijeshi kati ya mataifa hayo mawili. Marekani lakini bado haijathibitisha mkutano wa wanadiplomasia hao wawili.
Mapema mwezi Januari, maandamano yaliyochochewa na matatizo ya kiuchumi yalizuka nchini Iran. Lakini pia hali ya kutoridhika kisiasa na shinikizo la mataifa ya kigeni kwa pamoja vilisababisha moja ya changamoto kubwa zaidi za ndani ambazo uongozi wa Iran umekabiliana nazo kwa miaka mingi.
Kulingana na shirika la habari la Iran la Fars lililonukuu chanzo ambacho hakikutaka kutambulishwa, Rais Masoud Pezeshkian ameagiza kuanza kwa mazungumzo hayo na Marekani, ingawa hakikutaja tarehe hasa ya mazungumzo hayo.
A wannan Litinin kasar Iran ta gayyaci jakadun kasashen Turai da ke aiki a kasar, inda ta nuna rashin jin dadi da yadda aka saka sunan dakarun kare juyin-juya hali na kasar a matsayin 'yan ta'adda.
Violenţa cu care forţe de securitate au intervenit împotriva demonstranţilor a şocat profund populaţia. Provocate de o criză economică, la sfârşitul lunii decembrie au avut loc proteste de masă în toată ţara. Autorităţile au reacţionat cu blocarea temporară a internetului şi au mizat pe violenţă pentru a-i reprima p…
Кина исплива на површината како клучен играч во конфронтацијата на Иран со САД што ескалира, додека масовните протести и економскиот колапс ја оптоваруваат Исламската Република одвнатре.