Iran na Marekani zafanya mazungumzo Oman
Story summaryMjumbe wa Rais wa Marekani Donald Trump Mashariki ya Kati Steve Witkoff na waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi wanaongoza wajumbe wao katika mazungumzo hayo Oman, ambayo ni mpatanishi kati ya nchi hizo mbili.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.