Iran: Zaidi ya raia 50 kurejea kutoka Marekani
Story summaryWakati wa mkutano wa kila wiki na waandishi wa habari, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmail Baghaei amesema katika siku zijazo, karibu raia 50 hadi 55 wa Iran watarejea nchini humo.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.