Watu 12 wauawa kwenye sherehe ya Wayahudi Australia
Story summaryMtuhumiwa mmoja ameuawa na mwingine ameripotiwa kuwa yuko mahututi . Uchunguzi wa polisi kuhusu mkasa huo unaendelea huku polisi wakisema wameikuta silaha inayoweza kusababisha mlipuko kwenye gari linalohusishwa na mmoja wa watuhumiwa wa mauaji hayo.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.