Deutsche Welle · General

Trump awaonya Hamas, Iran baada ya mazungumzo na Netanyahu

· By Bruce Amani
Story summary

Akizungumza kwenye kikao cha waandishi habari pamoja na Netanyahu jimboni Florida, Trump alitishia kuangamiza jaribio lolote la Tehran kuujenga upya mpango wake wa nyuklia au silaha za makombora ya masafa marefu kufuatia mashambulizi ya Marekani na Israel mapema mwaka huu.

Read at Deutsche Welle

Opens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.

Your local edition.

Choose a timezone for story timestamps and date filters.