Deutsche Welle · General

Marekani na Iran zatishiana kuhusu maandamano ya Tehran

· By Amina Abubakar
Story summary

Waandamanaji na maafisa wa Usalama walipambana katika miji kadhaa ya Iran hapo jana (01.02.2026) huku watu sita wakidaiwa kuuwawa. Haya yakiwa mauaji ya kwanza kuripotiwa tangu kuanza kwa maandamano hayo.

Read at Deutsche Welle

Opens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.

Your local edition.

Choose a timezone for story timestamps and date filters.