Netanyahu aonyesha mshikamano na wananchi wa Iran
Story summaryAkizungumza mwanzoni mwa kikao cha kila wiki cha Baraza la Mawaziri mjini Jerusalem, Netanyahu amesema Israel inasimama pamoja na mapambano ya wananchi wa Iran na matarajio yao ya uhuru, haki na demokrasia.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.