Maandamano mapya ya kupinga serikali yazuka Iran
Story summaryKaribu watu 12 wakiwemo wanajeshi wa usalama, wameuawa tangu maandamano hayo yalipoanza, kufuatia mgomo wa wafanyabiashara huko Tehran Disemba 28, hii ikiwa ni ripoti rasmi zilizotolewa.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.