Kallas: Machafuko dhidi ya waandamanaji wa Iran hayakubaliki
Story summaryMkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema Ijumaa kwamba hatua zinazochukuliwa na vyombo vya usalama vya Iran kuyazima maandamano zimechupa mipaka.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.