Deutsche Welle · General

Khamenei akosoa maandamano dhidi ya serikali, Iran

· By Amina Abubakar
Story summary

Kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ameyakosoa vikali maandamano ya kuipinga serikali, yanayoendelea nchini humo. Khamenei amewakaripia waandamanaji aliyowaita watu waliohatari kwa taifa hilo.

Read at Deutsche Welle

Opens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.

Your local edition.

Choose a timezone for story timestamps and date filters.