Iran yasema maandamano 'yamedhibitiwa kikamilifu'
Story summaryAbbas Araghchi amesema maandamano yaligeuka kuwa ya vurugu na ya maafa, ili kumpa Rais wa Marekani Donald Trump sababu ya kuingilia kati.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.