EU yajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran
Story summaryRais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran, huku idadi ya vifo vinavyotokana na ukandamizaji wa maandamano ya kuipinga serikali ikizidi kuongezeka.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.