Trump: Mipango ya waandamanaji kunyongwa Iran imesitishwa
Story summaryMaandamano hayo yamezusha pia hali ya wasiwasi baada ya Marekani kutishia kuingilia kati na Iran ikionya kuwa italipiza kisasi. Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake katika kambi zilizopo Mashariki ya Kati, huku Uingereza ikitangaza kuufunga kwa muda Ubalozi wake mjini Tehran.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.