Iran yasema mwandamanaji Erfan Soltani hajahukumiwa kifo
Story summaryMahakama hiyo imesema Soltani hajahukumiwa kifo na ikiwa atapatikana na hatia, kulingana na sheria, adhabu, itakuwa kifungo gerezani kwasababu hukumu ya kifo haitumiki kwa mashtaka kama hayo.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.