Saudi Arabia, Qatar na Oman yamshawishi Trump kuhusu Iran
Story summaryAfisa huyo aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa jina, amesema mataifa hayo matatu ya Ghuba yaliongoza juhudi pana za kidiplomasia za dakika za mwisho kumshawishi Trump kuipa Iran nafasi ya kuonyesha nia njema.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.