Khamenei amshutumu Trump kwa kuchochea maandamano Iran
Story summaryKulingana na shirika la habari la Iran, Khamenei ametoa matamshi hayo Jumamosi na kuongeza kuwa nchi yake inamwona Trump kuwa mhalifu anayehusika na uharibifu, watu kujeruhiwa na kulichafua taifa lake.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.