Mifumo ya satelaiti ya shirika la utangazaji Iran yadukuliwa
Story summaryKanda hiyo ilipeperushwa usiku wa jana katika vituo vingi vinavyorusha matangazo yao kwa kutumia satelaiti ya shirika la utangazaji la Jamhuri hiyo ya Kiislamu ya Iran, lililodhibiti utangazaji wa televisheni na redio.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.