Meli za kivita za Marekani zaelekea Ghuba ya Uajemi
Story summaryManuari na meli za kivita za Marekani zinaelekea Iran baada ya rais Donald Trump wiki kadhaa zilizopita kutishia kuishambulia Jamhuri hiyo ya Kiislamu ikiwa itatumia nguvu dhidi ya waandamanaji.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.