Maafisa 15 wa Iran wawekewa vikwazo na EU
Story summaryUmoja wa Ulaya umemuwekea vikwazo waziri wa mambo ya ndani wa Iran, Eskandar Momeni pamoja na mwendesha mashtaka mkuu Mohammad Movahedi Azad miongoni mwa maafisa wengine wa ngazi za juu wa Tehran.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.