Iran: EU imeonyesha kiwango cha juu cha uadui na Iran
Story summaryAmesema matokeo ya uamuzi huo yatakuwa pia na athari kwa wanasiasa wa Ulaya katika siku za usoni, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi akiushutumu umoja wa Ulaya kwa kuzidisha moto kwenye ukanda huo na kufanya kosa kubwa la kimkakati.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.