Araghchi awasili Uturuki kwa mazungumzo ya amani
Story summaryKatika taarifa iliyotangaza kuwasili kwake, wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema Araghchi anatarajiwa kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, na pia kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.