Deutsche Welle · General

Milipuko iliyoambatana na vifo yaripotiwa Iran

· By Sudi Mnette
Story summary

Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, linalohusishwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika mji wa bandari wa Bandar Abbas ulioko katika Ghuba ya Uajemi, mtu mmoja aliuawa na wengine 14 kujeruhiwa. Mashuhuda pia waliripoti angalau mlipuko mmoja karibu na mji mkuu, Tehran. Katika eneo la kusi…

Read at Deutsche Welle

Opens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.

Your local edition.

Choose a timezone for story timestamps and date filters.