M23 yadai kuhusika na shambulio la uwanja wa ndege Kisangani
--------------------------------------------------------------------
Source: Deutsche Welle
Published: 2026-02-05 02:22 UTC+10:00
Section: General
Factuality Score: 100
Opinion Category: Neutral
Topics: Africa
--------------------------------------------------------------------
Snippet:
Waasi wa M23 wamekiri kuhusika na shambulizi la droni liliulolenga uwanja wa kimkakati wa ndege unaotumiwa na jeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
--------------------------------------------------------------------