Iran yawakamata wanasiasa wanaopigania mageuzi
Story summaryIran imewakamata viongozi kadhaa mashuhuri wanamageuzi, takriban mwezi mmoja baada ya maandamano makubwa yaliyoikumba nchi hiyo. Hayo yameripotiwa Jumatatu na vyombo vya habari vya Iran.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.