Netanyahu ziarani Marekani kuijadili Iran
Story summaryHii ni ziara ya sita kwa waziri huyo mkuu wa Israel nchini Marekani tangu kurejea kwa Trump katika Ikulu ya White House mwaka mmoja uliopita. Netanyahu na Trump walikutana pia mnamo Oktoba mwaka uliopita wakati Trump alipotangaza kusitisha mapigano huko Gaza.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.