Iran na Marekani kukutana Jumanne huko Geneva kwa mazungumzo
Story summaryHata hivyo kunashuhudiwa vuta ni kuvute baada ya Marekani kujaribu kushinikiza suala la makombora ya masafa marefu ya Iran kujadiliwa pia, pendekezo linalopingwa na Tehran.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.