Wajumbe wa Marekani na Iran wakutana Geneva
Story summaryWajumbe wa ngazi za Juu wa Iran na Marekani wanakutana kwa mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, yanayosimamiwa na Oman mjini Geneva.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.