Mazungumzo kati ya Iran na Marekani yakamilika Geneva
Story summaryWajumbe wa Marekani na Iran wameondoka baada ya kumalizika mazungumzo hayo ya mjini Geneva. Mazungumzo hayo yalifanyika katika makazi ya balozi wa Oman nchini Uswisi.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.