Ayatollah aionya Marekani dhidi ya kuishambulia Iran
Story summaryDuru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imemalizika mjini Geneva chini ya usimamizi wa Oman, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.