Iran, Urusi zafanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Story summaryJeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran pia lilishiriki katika luteka hiyo nje ya pwani ya kusini ya Iran. Marekani mara kwa mara imezungumzia uwezekano wa kuchukua hatua mpya za kijeshi dhidi ya Iran katika wiki za hivi karibuni, hata wakati mazungumzo mapya ya nyukliayakifanyika nchini Uswisi.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.