Iran: Rasimu ya mpango wa nyuklia itakuwa tayari karibuni
Story summaryKatika mahojiano yaliyochapishwa mtandaoni leo na kituo cha habari cha Marekani, MSNBC, Araghchi amesema hatua inayofuata kwake ni kuwasilisha rasimu ya mpango unaowezekana kwa wenzake nchini Marekani.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.