Ulaya yahimiza suluhu ya kidiplomasia mzozo wa Iran
Story summaryMkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas ametowa wito wa kuzingatiwa suluhu ya kidiplomasia kuhusu Iran, kabla ya kuanza tena kwa mazungumzo mengine kati ya Iran na Marekani wiki hii.
Read at Deutsche WelleOpens the original publisher in a new tab. Full articles belong to their publishers; a subscription may be required.